Kaitu Logo
KAITU Vocational Training College




Jinsi ya Kujisajili au kujiunga na udereva KAITU Driving School ( KAITU VTC )

Post Image

Kujisajili ni rahisi! Unaweza kufanya usajili:

  1. Mtandaoni kupitia tovuti yetu 👉 https://www.lumis.kaitu.ac.tz/unisignup.php

  2. Au kwa kufika moja kwa moja katika KAITU Driving School, Iringa mjini au tawi letu Mafinga.

Chukua/kamilisha/jaza fomu ya usajili chuoni au mtandaoni, chagua kozi unayotaka, kisha jaza taarifa zinazohitajika.
Timu yetu itakuongoza hatua kwa hatua hadi umalize mchakato wa kujiunga.

Posted by: KAITU VTC ADMIN on 06 Oct 2025 16:12