Kaitu Logo
KAITU Vocational Training College

Jinsi ya kuendesha gari la automatic (gari lisilo na clutch)

Post Image



1. Kufahamu Pedali na Gear


2. Kuanzia Gari

  1. Ingiza Brake (shikilia pedali ya breki).

  2. Weka gear kwenye P (Park).

  3. Washa gari kwa kitufe cha start.


3. Kuendesha

  1. Shikilia brake na pindua gear kwenda D (Drive).

  2. Toka brake polepole na bonyeza accelerator taratibu.

  3. Gari la automatic lina badilisha gears yenyewe, huna haja ya kubadili kwa mkono.


4.  Taratibu


5. Kutoka / Kuacha

  1. Shikilia brake.

  2. Weka gear kwenye P (Park).

  3. Washa brake ya mkono (handbrake) ikiwa unapaka gari.

  4. Zima gari.


6. Tips Muhimu


Posted by: KAITU VTC ADMIN on 06 Oct 2025 16:10