Kaitu Logo
KAITU Vocational Training College





njia rahisi za kuepuka ajali

Post Image



1. Endesha polepole

2. Tii sheria za trafiki

3. Tumia breki vizuri

4. Angalia njia yako

5. Usitumie simu au vitu vingine

6. Weka umbali na gari la mbele

7. Tumia taa vizuri

8. Usipeleke mwendo mkubwa kwenye mvua



Posted by: KAITU VTC ADMIN on 06 Oct 2025 16:10